Basi la Safari Njema likiteketea kwa moto |
Basi la abiria lililokuwa likitokea Dodoma liitwalo Safari Njema lenye namba za usajiri T 990 AQF limegongana na lori lenye namba ya usajili 534 BYJ eneo la Kimara Stop Over Jijini Dar es Salaam na kusababisha kuwaka kwa magari hayo yote mawili na kupelekea kifo cha abiria mmoja na majeruhi 10.
No comments:
Post a Comment